Huduma zetu
Hospitalihii ina Madaktari Bingwa waliobobea wanofanya upasuaji wa aina zote, Upasuaji mkubwa kwa mdogo
readmoreHospitali Hii inalaza wagojwa wa aina zote. wazee, wanawake / wanaume wakubwa kwa wadogo pia na hata watoto na wa jinsia zote,
readmoreMaabara ni idara mojawapo kati ya idara zilizopo katika Hospitali ya Mount Meru. Idara hii inasimamia vitengo vifuatavyo;-
- Bacteriology
- Blood Transfusion
- Chemistry
- Haematology
- Parasaitology na
- Serology
Maabara ya hospitali hii imepata...
readmore
Kitengo hiki kinaratibu huduma zifuatazo.
- Kuwapokea wagonjwa wote wa liotumwa kwa rufaa kutoka hospitali zote zinazoizunguka Arusha na hata nje ya mkoa.
- Kuwapokea na kuwatibu wagojwa wote wa ajali za aina zote na kuwatibu kabla ya kuw...