kliniki-macho

Kliniki ya macho inakuwa wazi kuanzia jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa tisa na nusu Alasiri

(2:00am-9:30pm) 

Njoo upate huduma za miwani, upasuaji na matibabu yahusuyo macho katika hospitali yetu ya Mount Meru.