Kliniki ya Upasuaji (SOPD)
Kliniki ya Upasuaji inakuwa wazi siku za jumatatu na ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa tisa na nusu Alasiri
(2:00am-9:30pm)
Njoo upate huduma za kibingwa za upasuaji na matibabu yahusuyo upasuaji katika hospitali yetu ya Mount Meru.