Kliniki ya Urology

Kliniki ya Urology (Matatizo yahusuyo njia za mkojo) inafanyika siku ya Jumatano kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa tisa na nusu Alasiri

(2:00am-9:30pm) 

Njoo upate huduma za Kibingwa zihusuzo matatizo ya njia za Mkojo na upasuaji na matibabu yahusuyo Urologya katika hospitali yetu ya Mount Meru.