Kliniki-meno
Huduma zitolewazo na kliniki ya meno:-
1. Uchunguzi wa kinywa na meno
2. Kuziba meno
3. Kufanya matibabu ya mzizi wa meno
4. Kung'oa meno
5. Kusafisha meno
6. Kufunga meno yaliyovunjika
7. kufunga taya yaliyovunjika
8. Kurekebisha meno ya watoto yaliyoota vibaya
9. Kuweka meno ya bandia
10. Kuweka kofia za meno yaliyovunjika
11. Kushona kwa waliyoumia
12. Kupasua jipu na kufunga kidonda