Ukaribisho

profile

Dkt. Alex Ernest
Mganga Mfawidhi wa Hospitali

Karibu katika Tovuti ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha (Mount Meru) kwa huduma bora na za kibingwa kutoka kwa madaktari wabobezi Tunatumaini utapata taarifa za kuaminika unazozihitaji kwa ukamilifu kuhusu wigo, upeo wa taasisi, dira, dhamira, malengo, mikakati na Huduma tunazoz...

Read more

Huduma zetu All

Hospitalihii ina Madaktari Bingwa waliobobea wanofanya upasuaji wa aina zote, Upasuaji mkubwa kwa mdogo

readmore

Hospitali Hii inalaza wagojwa wa aina zote. wazee, wanawake / wanaume wakubwa kwa wadogo pia na hata watoto na wa jinsia zote,  

readmore

Maabara ni idara mojawapo kati ya idara zilizopo katika Hospitali ya Mount Meru. Idara hii inasimamia vitengo vifuatavyo;-

  • Bacteriology
  • Blood Transfusion
  • Chemistry
  • Haematology
  • Parasaitology na
  • Serology

Maabara ya hospitali hii imepata...

readmore



Kitengo hiki kinaratibu huduma zifuatazo.

  1. Kuwapokea wagonjwa wote wa liotumwa kwa rufaa kutoka hospitali zote zinazoizunguka Arusha na hata nje ya mkoa.
  2. Kuwapokea na kuwatibu wagojwa wote wa ajali za aina zote na kuwatibu kabla ya kuw...

readmore

Matukio All

Saa za kuona wagonjwa

Jumatatu - Jumapili

  • Kutoka 12:00 Mpaka 01:00
  • Kutoka 06:30 Mpaka 07:30
  • Kutoka 10:30 Mpaka 11:30

Kliniki za Leo All

Elimu ya Afya All

Ijue Saratani ya Shingo ya kizazi

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI  NI NINI?

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi. Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa ka...

read more

Maudhui ya Wizara All

Matangazo All