NALOPA

Kupata huduma ya afya kunaweza kuwa gharama wakati mwingine. Hii ndio sababu tunakubali bima ya Nalopa kuhakikisha kuwa wagonjwa wetu wanaweza kupata matibabu mara moja bila kuwa na wasiwasi juu ya kulipa pesa. Hospitali ya Mount Meru inaikubali Bima ya afya ya Nalopa.

Hospitali hii inampokea mtu yeyote ambaye anadhaminiwa na Nalopa ili kupata huduma ya Afya kwetu.