Bima ya afya (NSSF)

Kupata huduma ya afya kunaweza kuwa gharama wakati mwingine. Hii ndio sababu tunakubali kadi za Bima kuhakikisha kuwa wagonjwa wetu wanaweza kupata matibabu mara moja bila kuwa na wasiwasi juu ya kulipa pesa. Sisi ni moja ya Hospitali za juu zinazokubali Bima ya afya ya NSSF.

Hospitali hii inampokea mtu yeyote ambaye ana kadi ya Bima ya afya ya NSSF na amechagua kutibiwa katika Hospitali ya Mount Meru na yupo katika orodha yawaliochagua kupata huduma kwetu.