Emergence Department
Posted on: September 13th, 2024
Kitengo hiki kinaratibu huduma zifuatazo.
- Kuwapokea wagonjwa wote wa liotumwa kwa rufaa kutoka hospitali zote zinazoizunguka Arusha na hata nje ya mkoa.
- Kuwapokea na kuwatibu wagojwa wote wa ajali za aina zote na kuwatibu kabla ya kuwalaza wodini.
- Kuwashughulikia watoto wotewaliozidiwa kabla ya kuwalaza
- kufanya vipimo vyote vya dharura kama ECG, ECHO.