Jengo la CT Scan

Posted on: March 13th, 2021

Hospitali imekwisha kukamilisha ujenzi wa CT Scan na inaendelea na mchakato wa namna ya kupata mashine ya CT Scan ili kuweza kuondoa changamoto ya upatikanaji wa vipimo hivi muhimu kwa Hospitali yetu.