Bima ya Afya kwa wote
Posted on: January 24th, 2023Bima ya Afya kwa wote ni mpango unaowezesha Wananchi wote kujumuishwa katika utaratibu wa kuchangia gharama za mataibabu kabla ya kuugua. Kupitia mpango huu, Serikali ina wajibu wakuweka utaratibu wa kugharamia Wananchi wasio na uwezo wakupata huduma za matibabu bila kikwazo cha fedha.