Nafikaje Mount Meru RRH

Kutokea stendi ya mabasi Arusha chukua usafiri wowote au daladala zinazokwenda Ngulelo au Tengeru, shuka kituo cha Sanawari elekea barabara ya (EAC)

Karibu na kumbi za mikutano za AICC au makao makuu ya Jumuia ya Afrika Mashariki ( EAC)